XPLASTAZ -"Msimu Kwa Msimu"..

XPLASTAZ -LEGENDARY A-TOWN REPRESENTAZ..FAZA NELLY R.I.P.

Comments

Anonymous said…
EeeBwana Ndio!!
XPLASTAZ ni wakongwe,Much RESPECT.
MAASAI HIPHOP is a Classic Album.
jee nitaweza kuipata wapi hio,ili na mimi niwe na copy yangu??
Sisi mashabiki wa Real hiphop tungefurahia saaana kama Mngerudi Studio na Kuendeleza FANI..siku hizi Bongo hadi kina FAT JOE wanafika..Ingekuwa MZUUKA kama siku moja BONGO inashuhudia XPLASTAZ LIVE kama Mlivyowaruusha kule bara la ULAYA..R.I.P FAZA NELLY..Long Live XPLASTAZ!!..Bongo NeeDs YOU!!