NASH MC - NAANDIKA "Fikra sahihi huja kwa Lugha Asili"


One of the leaders of the New school of Tanzania Hiphop Movement, a self proclaimed Teacher 'Maalim', Nash MC continues to dominate the streets of Dar-es-salaam with his lyrical lectures accompanied by the Tamaduni muzik Boombap Sound. Nash MC is one of a few independent Tanzania hiphop artists who mastered the art creating a street buzz by releasing a series of Mixtapes and independently distributing his work through out the country without the help of radio airplays.
His most recent work is an outstanding Swahili song called "Naandika" where he introspectively invites the listeners into his writing process and the motives behind his writings, without forgetting his role as 'Maalim' during the song Nash makes sure he drops Knowledge to the youth and emphasise the use of Kiswahili language on Tanzanian music, as he spits "Fikra sahihi huja kwa Lugha Asili" which means "A Pure Thought comes to you in your native language".



Comments

Anonymous said…
Nash Mc ZUZU
Naandika kuhusu utukufu wa Mungu wangu, anayeniongoka kwenye haya maisha yangu. Bila kusahau tamaduni wa HIP HOP naipenda hii kitu.
Siandiki Bifu, naandika kuhusu matukio ya afrika na vita vya kila siku, Afrika ya kati, Congo na Sudan tazama ni jinsi gani watoto na kina mama wanavyouwawa kinyama hadharani
usiongee kabisa kwa umeme uliopandishwa kwa watu wa majumbani, kodi ya maji tsunami,
naandika kuhusu uozo wa serikali unaoturudisha kwenye zama za ubepari wachache ndio wenye mali wananchi hamtujali,
Naandika kuhusu dili za magendo kaMA meno ya tembo na pia viongozi wasio na malengo
Waliokosa uzalendo,
Naandika kuhusu gesi mbuga ardhi na madini,
Kuhusu wawekezaji mniachie mimi, muone nitawafanya nini, haya utafanya nini, nitawauuzia vyote kisha naingia mitini
Njoo kwenye mitaa vijana wamepotea vibaya Dada zetu wamekuwa Malaya
Kwa msongo wa mawazo wanatenda mabaya, wamesahau kuhusu dhambi wao pombe na kaya,
Naandika kuhusu kuachana na hayo mambo, mkononi nina bango,
Mstari wa mbele mi tayari kuwa chambo,
Naandika kuhusu ngono isiyo salama, ngono ambayo inatumaliza vijana
Siandiki kuhusu mambo ya ushoga Sijui mapenzi ya jinsia moja
Ukitia saini wewe rais ni muoga.
Naandika kuhusu mitaa kwa hisani ya watu wa masikani
MNaandika mapenzi hiyo ni kwa hisani ya radio fulani,
Kwa hisani ya promo mnarudi utumwani, haujui siri yeyote unaandika kwa hisani ya kusikika hewani,
Naandika kuhusu matumizi ya Kiswahili
Kwenye fani ya ushairi, chanini kingereza jiulize tumia akili, fikra sahihi huja kwa lugha asili,
Naandika kuhusu mashabiki wanaotaka kanga mseto bure,
Na pia wachanaji ambao hamtaki shule,
Ma mceee wa siku hizi hampendi elimu, mnataka kuchana tu nyie kweli mnawazimu,
Mimi ndio maalim, naandika mambo mengi,
Niliandika tabia ilivyonifanyia ushenzi,
Naandika kuhusu harangati ninazo zijua, ‘kilinge nsua’ harakati zingine wenyewe mnazitambua,
Wanaanzisha leo wakipewa pesa kesho wanaziua,
Naandika kuhusu watangazaji na Ma Dejay walarushwa,
Usithubutu kukutwa na takukuru ya mtaa,
Machizii watakata funuua, watatambaa na Ngoma wataigonga kilazima ki gangster,
Sina budi kuandika kuhusu wasanii walio jifanya HIP HOP na leo wamebadilika,
Mnatia aibu na hii ni kwa wote mnaobabaika,
,’baibuda,kiduku, za kinegeria, bongo flava na kwaito vyote unataka wewe,
Wacha kumbwelambela, chagua moja tukuelewe,
Hii kwa wasanii wadogo na wa kongwe, Play back show mbovuu, embu achene pombe,
Nimepata majonzi Naandiki kuhusu Langa na Magwea, Kanumba na Sajuki, wapi Sharo Milionea na wasanii wote waliopotea tusiache kuwaombea ,
Sasa nipo jikoni Naandika kuhusu kesi ya babu seya… hamkufanya fair..